Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Sunday, July 3, 2011

Mr. na Mrs.

Mwanaume alisimamishwa na trafik:
Trafik: Mzee unajua kua ulikua spidi sana?
Mwanaume: Hapana.
Mke: Nilimuambia mimi apunguze spidi mbishi.

Mume akimjibu mke: Kelele, hayakuhusu ntakunasa vibao sasa hivi.
Mke: Na leseni pia nimeimba wee hajachukua.
Trafik anaenda muuliza mke "eti mama anakujibu ivi siku zote?"
Mke akajibu: Hapana mpaka akiwa amelewa.

No comments:

Post a Comment