Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Thursday, July 28, 2011

Chizi na... Chizi na...

Jamaa alikua anachimba dawa (kubwa) kichakani, kidogo akatokea chizi ama kichaa na kumpora nguo zote. Kilichofuata jamaa akawa anamkimbiza huyo kichaa akiwa mtupu! Watu walishindwa elewa yupi kichaa kati yao wakabaki wakiwaangalia tu....

Watu wakasema wamepita machizi wawili hapa wanakimbizana lakini wa nyuma ndio anakichaa zaidi sababu amevua nguo.

No comments:

Post a Comment