Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Saturday, July 2, 2011

Mwizi

Kibaka mmoja usiku alienda kuiba cha kuiba, akafika akafungua boneti ya gari akiwa anajua mwenyewe kichwani mwake anachokuja kuiba. Wakati ameishikilia boneti ya gari mikono yote miwili juu mwenye gari na nyumba alikua akimchungulia tu....

Kisha akamuuliza kupitia dirishani yule mwizi "ya kwaakoo?"
Kilichofuata yule mwizi aliachia boneti mbio alizotoka kwenye fensi ya michongoma sijui alipitaje maana geti lilikua limefungwa.... Ila alikimbia ukabaki unacheka tu picha nzima ikivyo kawa....

No comments:

Post a Comment