Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Monday, July 18, 2011

Vidonge

Mama mmoja alimuuliza mumewe "mume wangu zile dawa zangu zilizokua hapa ziko wapi?
Baba kabla hajajibu mtoto akadakia "mama nimempa mbwa wetu ameza nilisikia ukimuambia baba ni vidonge vya majira, mbwa wetu ana mabwana wengi vitamsaidia"

No comments:

Post a Comment