Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Tuesday, July 19, 2011

Bilionea

Mvulana: Baba yangu ni bilionea na ana miaka 93, karibuni tu atakufa, je utakubali kuolewa na mimi?
Msichana akajibu: Hapana, sitaki.

Week baadae yule msichana akaolewa na huyo baba ake mvulana.
Mvulana akanena: Shenzi kabisa, usitoe wazo kama hili kwa mwanamke...

No comments:

Post a Comment