Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Sunday, July 3, 2011

Kushikana mikono

Jamaa mmoja alimuuliza mwenzake jambo "hivi kwa nini wapendanao wanashikana mikono wakati wanafunga ndoa?"
Jamaa mwenzake akamjibu "kawaida ni kama vile mabondia wanavyoshikana mikono kabla ya ngumi kuanza"

No comments:

Post a Comment