Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Monday, July 25, 2011

Majambazi kanisani

Majambazi walivamia kanisa, muda mfupi kabla sadaka zilitangazwa kua ni kiasi cha 15,750Tsh. Majambazi hayo yakaamuru kila mtu atoa alicho nacho cha thamani. Baada ya zoezi hilo zikatatikana takribani 7,000,000Tsh kisha jambazi mmoja wapo akasema "padre waumini wako sio kama hawana sadaka haya pesa hizi hapa tumekusa"
Wakampatia na kuondoka!

No comments:

Post a Comment