Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Sunday, July 24, 2011

Jamaa mmoja alijenga nyumba maeneo ya uwashilini, siku moja alikua ghorofani kwako akachungulia nje akamuona mtu anaoga kwenye yale mabafu ya uswahilini passport, size akamuona mtu amejipaka sabuni usoni akiitafuta ilipodondokea jamaa ghorofani akanena kwa sauti " Sabuni ipo unande wako wa kushoto"

No comments:

Post a Comment