Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Thursday, July 28, 2011

Kwenda nyumbani

Mwalimu alinena darasani
Mwalimu: Atakaejibu swali lifuatalo ndio ataenda nyumbani.
Mwanafunzi mmoja akatupa begi lake nje kupitia dirisha.

Mwalimu: Nani katupa begi nje?
Mwanafunzi akajibu: Mimi hapa mwalimu, naweza kenda nyumbani sasa?

No comments:

Post a Comment