Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Saturday, July 9, 2011

Wapi blauz?

Mama mwenye nyumba alipoitafuta blauzi yake bila mafanikio akamuuliza mfanyakazi wake (dada) wa ndani: "dada nguo yangu ya pink pink ipo wapi naitafuta siioni?"

Dada nae akajibu "sijui mama ipo wapi?"
Mama: Nimefanya makusudi kukuuliza nilikuona umeificha.
Dada: Na mimi pia niliificha makusudi.

No comments:

Post a Comment