Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Tuesday, July 26, 2011

TV

Wanafunzi shule ya msingi walipewa project ya kutengeneza luninga na vifaa vya nyumbani, Kila mmoja akatumia uwezo wake na akatengene za hiyo tv wengine wakatumia maboxi wengine debe za plastik nk

Mtoto wa SHAROBARO akaenda na karatasi ya A4 akaulizwa na wanafunzi wenzake "mshikaji hi tv kweli? Siutafeli hii project!" akajibu "plasma tv meen!!!"

No comments:

Post a Comment