Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Friday, July 15, 2011

Kwa mganga

Jamaa alienda kwa mganga, baada ya kufanyiwa tunguli za kutosha mganga akampa dawa ya kuila ili huyu alie na shida imsaidie!
Mpewa dawa akamuambia mganga "mganga hii dawa haina tatizo?"
Mganga akajibu "sijui, nenda kaijaribu. Kama haina madhara ntaitumia kwa wengine"

No comments:

Post a Comment