Polisi alimsimamisha Mzee mmoja akagundua kuwa amelewa huku akiendesha gari, akamuambia yule mlevi "shuka kwenye gari na usimame kwa mguu mmoja". Ili amjua kama stamina anayo au la!?
Yule mzee akamjibu "Askari nitolee wheel chair yangu nyuma kwenye gari kwanza"
Karibu Sana.
Cheka Unenepe
Friday, July 29, 2011
Gundua
Jamaa mmoja alikua akinena "eti wazungu wamegundua mlima Kilimanjaro, kwa wachaga walikuwa wapi hapo awali?"
Kisha akaendelea kunena "juzi walimkamata mshkaji akiwa na gari isiyo yake, kumuuliza akajibu ameigundua kuwa ni gari lilikua limepaki"
Kisha akaendelea kunena "juzi walimkamata mshkaji akiwa na gari isiyo yake, kumuuliza akajibu ameigundua kuwa ni gari lilikua limepaki"
Thursday, July 28, 2011
Kwenda nyumbani
Mwalimu alinena darasani
Mwalimu: Atakaejibu swali lifuatalo ndio ataenda nyumbani.
Mwanafunzi mmoja akatupa begi lake nje kupitia dirisha.
Mwalimu: Nani katupa begi nje?
Mwanafunzi akajibu: Mimi hapa mwalimu, naweza kenda nyumbani sasa?

Chizi na... Chizi na...
Jamaa alikua anachimba dawa (kubwa) kichakani, kidogo akatokea chizi ama kichaa na kumpora nguo zote. Kilichofuata jamaa akawa anamkimbiza huyo kichaa akiwa mtupu! Watu walishindwa elewa yupi kichaa kati yao wakabaki wakiwaangalia tu....
Watu wakasema wamepita machizi wawili hapa wanakimbizana lakini wa nyuma ndio anakichaa zaidi sababu amevua nguo.
Watu wakasema wamepita machizi wawili hapa wanakimbizana lakini wa nyuma ndio anakichaa zaidi sababu amevua nguo.
Wednesday, July 27, 2011
Homework
Mwalimu alimuuliza mwanafunzi wake! "Wewe wapi homework niliyokupatia ufanya?"
Mwanafunzi akajibu "Mbona nishaifanya, nimei-upload facebook nikakutag angalia comments zinasemaje?"
Mwanafunzi akajibu "Mbona nishaifanya, nimei-upload facebook nikakutag angalia comments zinasemaje?"
Tuesday, July 26, 2011
TV
Wanafunzi shule ya msingi walipewa project ya kutengeneza luninga na vifaa vya nyumbani, Kila mmoja akatumia uwezo wake na akatengene za hiyo tv wengine wakatumia maboxi wengine debe za plastik nk
Mtoto wa SHAROBARO akaenda na karatasi ya A4 akaulizwa na wanafunzi wenzake "mshikaji hi tv kweli? Siutafeli hii project!" akajibu "plasma tv meen!!!"
Mtoto wa SHAROBARO akaenda na karatasi ya A4 akaulizwa na wanafunzi wenzake "mshikaji hi tv kweli? Siutafeli hii project!" akajibu "plasma tv meen!!!"
Simu ya mke
Mwanaume mmoja alirusha kisu kuilenga picha ya mkewe ukutani, bahati mbaya akaikosa na kusema
"ooh I miss it"
Punde mkewe akapiga simu, Mke: Unafanya nini mume wangu?"
Mume akajibu "I missed you"
"ooh I miss it"
Punde mkewe akapiga simu, Mke: Unafanya nini mume wangu?"
Mume akajibu "I missed you"
Monday, July 25, 2011
Majambazi kanisani
Majambazi walivamia kanisa, muda mfupi kabla sadaka zilitangazwa kua ni kiasi cha 15,750Tsh. Majambazi hayo yakaamuru kila mtu atoa alicho nacho cha thamani. Baada ya zoezi hilo zikatatikana takribani 7,000,000Tsh kisha jambazi mmoja wapo akasema "padre waumini wako sio kama hawana sadaka haya pesa hizi hapa tumekusa"
Wakampatia na kuondoka!
Wakampatia na kuondoka!
Maasai
Mmaasai mmoja alimuona rafiki yake akipita na dumu tupu, akamuuliza "rafiki naenda wapi na dumu?" Rafikie akajibu "naenda nunua maziwa ya ng'ombe"
Mmaasai kusikia vile akanena akimuambia rafikie "rafiki na tafundisha ng'ombe yangu kuusa masiwa"
Mmaasai kusikia vile akanena akimuambia rafikie "rafiki na tafundisha ng'ombe yangu kuusa masiwa"
Sunday, July 24, 2011
Saturday, July 23, 2011
Ndege
Katoto kamoja kalionda ndege inapita angani kakaanza kusema kwa staili kama ya kuimba "ndeege ndeege ndeege ndeege" akaskuti akahisi kama anakosea akabadilisha na kusema "airplane airplane airplane..."
Friday, July 22, 2011
Ratiba ya umeme
Jamaa mmoja anaefanya kazi shirika la umeme alimuuliza jirani yake "kwani wewe huna ratiba ya umeme mpaka ulalamike kukatwa katwa?"
Jirani nae akajibu, "ratiba yenyewe imetolewa copy, halafu kumbe si ya mtaa wetu ntajuaje sasa?"
Jirani nae akajibu, "ratiba yenyewe imetolewa copy, halafu kumbe si ya mtaa wetu ntajuaje sasa?"
Mume kafa
Mke alienda Jerusalem na mumewe ki-vekeshen vekeshen.
Mumewe akafa bahati mbaya, akaambiwa kusafirisha mwili itamgharimu dola 1,000 na kuzika nchini humo dola 100.
Akachagua kusafirisha, mchungaji akamuuliza "huoni ni gharama kubwa sanakusafirisha?"
Mke akajibu: Mara ya mwisho Yesu alizikwa hapa akafufuka siku ya 3, mi sitaki mume wangu afufuke"

Muda kurudi
Mwanamume mmoja akimuambia mkewe kwenye sms "mke wangu narudi nyumbani muda si mrefu namalizia bia ya mwisho, ukiona sijarudi bado soma tena msg hii"
Thursday, July 21, 2011
Wednesday, July 20, 2011
Kampuni ya inshuarensi
Ajenti wa kampuni ya inshuarensi: Mzee, pia tunatoa inshuarensi ya uume.
Mteja: Mnafanyaje yani? Mna-replace na uume mwingine ama?
Ajenti: Hapana, inakua kama haufanyi kazi tena tunatoa huduma bure kwa mkeo.
Mteja: Mnafanyaje yani? Mna-replace na uume mwingine ama?
Ajenti: Hapana, inakua kama haufanyi kazi tena tunatoa huduma bure kwa mkeo.
Tuesday, July 19, 2011
Bilionea
Mvulana: Baba yangu ni bilionea na ana miaka 93, karibuni tu atakufa, je utakubali kuolewa na mimi?
Msichana akajibu: Hapana, sitaki.
Week baadae yule msichana akaolewa na huyo baba ake mvulana.
Mvulana akanena: Shenzi kabisa, usitoe wazo kama hili kwa mwanamke...
Msichana akajibu: Hapana, sitaki.
Week baadae yule msichana akaolewa na huyo baba ake mvulana.
Mvulana akanena: Shenzi kabisa, usitoe wazo kama hili kwa mwanamke...
Msibani na siasa
Mwanasiasa mmoja alienda hudhuria msiba, na kwa vile alikuwa mtu maharufu eneo hilo alipata wasaa wa kunena jambo kuhusu rafiki yake marehemu hali ikawa hivi alipoanza kunena jambo "msiba oyee?"
Monday, July 18, 2011
Malaika
Mtoto mdogo wa kiume kamsimulia mama yake: 'Mama unafahamu kuwa dada (house girl) kumbe ni malaika? Mama kwanini unasema hivyo mwanangu?
Mtoto: Nilimwona akiwa uchi mkono ameshika ukutani akisema mungu wangu nakuja, nakuja kama baba asingekuwa amemshikilia kwa nguvu kwa nyuma angeweza kupaa juu mbinguni.
Mtoto: Nilimwona akiwa uchi mkono ameshika ukutani akisema mungu wangu nakuja, nakuja kama baba asingekuwa amemshikilia kwa nguvu kwa nyuma angeweza kupaa juu mbinguni.
Vidonge
Mama mmoja alimuuliza mumewe "mume wangu zile dawa zangu zilizokua hapa ziko wapi?
Baba kabla hajajibu mtoto akadakia "mama nimempa mbwa wetu ameza nilisikia ukimuambia baba ni vidonge vya majira, mbwa wetu ana mabwana wengi vitamsaidia"
Baba kabla hajajibu mtoto akadakia "mama nimempa mbwa wetu ameza nilisikia ukimuambia baba ni vidonge vya majira, mbwa wetu ana mabwana wengi vitamsaidia"
Sunday, July 17, 2011
Namba mpya
Mwanamke mmoja alimpigia mumewe na simu asiyoijua! Katikati ya maongezi mwanamke akamuuliza mumewe "unajua unaongea nani?"
Mwanaume kuogopa asije akataja baadae akaulizwa huyo mwanamke uliomtaja ni nani mumewe akajibu "naongea na Juma au?
Mwanaume kuogopa asije akataja baadae akaulizwa huyo mwanamke uliomtaja ni nani mumewe akajibu "naongea na Juma au?
Friday, July 15, 2011
Kwa mganga
Jamaa alienda kwa mganga, baada ya kufanyiwa tunguli za kutosha mganga akampa dawa ya kuila ili huyu alie na shida imsaidie!
Mpewa dawa akamuambia mganga "mganga hii dawa haina tatizo?"
Mganga akajibu "sijui, nenda kaijaribu. Kama haina madhara ntaitumia kwa wengine"
Mpewa dawa akamuambia mganga "mganga hii dawa haina tatizo?"
Mganga akajibu "sijui, nenda kaijaribu. Kama haina madhara ntaitumia kwa wengine"
Betri low
Jamaa kaoa na ana kimada cha nje pia ikawa kila akipigiwa simu na kimada wake, mkewe huchukuwa sim na kuiweka kwenye charge sababu amelisave jina la huyo kimada wake BATTERY LOW!
Thursday, July 14, 2011
Kibweka msibani
Jamaa aliacha mpya msibani, alipofika na kukuta wafiwa wanalia akanena "msilie jamani marehemu kani-text muda si mrefu na yeye anakuja msibani"
Sharobaro
Masharobaro wengi walikufa gongo la mboto kutokana na majibu yao. Lala chini bomu hlo "ntachafuka men"
Panda lory" nasubiri taxi men
"Zima simu" naongea na baby men''
"Nenda uwanja wa taifa" naogopa mbu men!
Hayo ndo majibu wakati wa purukushan za kujiokoa.
Panda lory" nasubiri taxi men
"Zima simu" naongea na baby men''
"Nenda uwanja wa taifa" naogopa mbu men!
Hayo ndo majibu wakati wa purukushan za kujiokoa.
Saturday, July 9, 2011
Idadi ya kuku
Mwalime: Wekesa nikukupatia kuku mbili tena baadaye nikupe zingine mbili kwa ujmala utakuwa na kuku ngapi?
Wekesa: Tano!
Mwalim : Kweli wewe mjinga
Wekesa: La hasha tiyari niko na moja nyumbani!
Wekesa: Tano!
Mwalim : Kweli wewe mjinga
Wekesa: La hasha tiyari niko na moja nyumbani!
Wapi blauz?
Mama mwenye nyumba alipoitafuta blauzi yake bila mafanikio akamuuliza mfanyakazi wake (dada) wa ndani: "dada nguo yangu ya pink pink ipo wapi naitafuta siioni?"
Dada nae akajibu "sijui mama ipo wapi?"
Mama: Nimefanya makusudi kukuuliza nilikuona umeificha.
Dada: Na mimi pia niliificha makusudi.
Dada nae akajibu "sijui mama ipo wapi?"
Mama: Nimefanya makusudi kukuuliza nilikuona umeificha.
Dada: Na mimi pia niliificha makusudi.
Subscribe to:
Posts (Atom)