Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Tuesday, August 3, 2010

Chupi ya chuma

Mwanaume mmoja alimchongea kufuli ya chupi ya chuma. Ili akienda masomoni amkabidhi rafiki yake awe mlinzi...

Siku ilipofika akampa rafiki yake kipenzi akamuambia aitunze mpaka atakaporudi.

Jamaa akawa anamkimbilia mwenye mke mda mfupi baadae... Akaulizwa... ''vipi kuna tatizo?''
Aliepewa fungua akajibu ''samahani umenipa ufunguo sio wenyewe.''

1 comment:

  1. Ha ha ha! Nilikuwa sijapata fursa ya kutembelea hii website bwana. Ubize ulikuwa unanisumbua. Si unajua shule tena!

    ReplyDelete