Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Friday, June 18, 2010

Kibendi

Mama mmoja alipogundua kwa dada wa kazi za ndani ni mjamzito alienda kumtaharifu mumewe:

Mke: Mume wangu, huyu house girl ana uja uzito. Na alikuwa hatoki kabisa kabisa humu ndani:

Mume akajibu, ''kwani mimba inatafutwa siku nzima?''

1 comment:

  1. Xafi xana.
    Mimba sekunde 2.
    Afu uyo bb atakua mhucka.

    ReplyDelete