Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Wednesday, June 16, 2010

Unaikumbuka hii?

Famila moja ilikodi ndege kwenda vekesheni. Kwenye ndege watoto wakawa wanacheza na kelele, mama yao akafanya utaratibu.

Mumewe alipotoka msalani akauliza watoto wapo wapi? Mama akajibu 'wapo nje wanacheza humu ndani wanapiga kelele sana'

1 comment:

  1. duu iyo kal..hao watoto c walitoka na parashut co?

    ReplyDelete